MESSEGE FROM CHEF FROM PAGE 1
Meet our expert kitchen partner, a talented home chef with over 10 years of professional culinary experience. Specialising in authentic Zanzibar and Swahili cuisine, they bring the true, rich flavours of the spice island straight to your plate. Every dish is carefully hand-crafted using 100% fresh, Halal ingredients and time-honoured traditional recipes.
Mfahamu mpishi wetu mkuu mtaalamu, mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 10 katika sanaa ya mapishi. Akibobea katika vyakula vya asili vya Zanzibar na Uswahilini, anakuletea ladha halisi na maridhawa kutoka kisiwa cha marashi ya karafuu moja kwa moja kwenye sahani yako. Kila chakula huandaliwa kwa ustadi wa hali ya juu kwa kutumia viungo safi vya Halal 100% na siri za mapishi ya kiasili